new1.gif

TANGAZO LA MKUTANO MKUU KWA WANACHAMA WA SUGECO

Ndugu Wanachama wa SUGECO, mnatangaziwa kuwa kutakua na mkutano mkuu wa wanasugeco wote siku ya Jumamosi tarehe 20/7/2019 kuanzia saa 4:30 asubuhi. Mkutano huu utafanyika kwenye ofisi za SUGECO zilizopo SUA Morogoro.

Karibuni wote tupate taarifa za maendeleo ya ushirika wetu. Ukipata tangazo hili mjulishe na mwingine.